Academy hii inahusika na utoaji wa Elimu ya Ufanyaji na Uwekezaji kwenye Biashara ya Ubadilishaji wa Fedha za Kigeni Mtandaoni (Forex) Pamojaa na Uwekezaji kwenye soko Hisa.
Biashara ya Forex imekua kwa kasi sana kuanzia mwaka 2017 kwa Tanzania, Mpakaa kufikia 2019 Tanzania ilikua ina zaidi ya WafaanyaBiashara wa Forex zaidi ya Milioni moja wengi wao wakiwa ni vijana. Fursa hii imeleta mafanikio kwa vijana wengi hapa Tanzania na kote duniani kwani Biashara hii unaweza kuifanya ukiwa popote pale na kwa mtaji mdogo.
Team yetu ya FxLite inakukaribisha kwenye Academy yetu hii ya mtandaoni ili kupata mafunzo mbalimbali ya Biashara ya Forex na Hisa
Lengo letu ni kutoa Elimu kwa jamii ambayo hapo awali hawakuweza kuipata kutokana na sababu mbalimbali, FxLite inakuletea Huduma zote popote ulipo kwa urahisi na gharama nafuu zaidi.
Kupitia FxLite utaweza kujifunza Biashara ya kubadilisha fedha za kigeni mtandaoni kwa Lugha ya Kiswahili... Karibuni sana!
- Raymond Julius